Looking for a unique perspective on sports touching on everything from mainstream topics to issues that are not getting enough attention? Join the Tanner brothers from Media Timeout every weekend for some great sports debate! Media Timeout -- Where Nothing Is Out Of Bounds
…
continue reading
Calling all trucker heroes and insurance wranglers! Buckle up for another wild ride with the Trucking Risk and Insurance Podcast. Two grey-bearded safety guys take their irreverent look at the trucking pitfalls, risks, and trouble with trucking insurance. They invite the trucking elite on the show to discuss. This week, John and Chris, are swerving past potholes of peril to deliver the straight goods on keeping your rig safe and your insurance rates lower than a limbo dancer in flip-flops. W ...
…
continue reading
Welcome to the Mr On It Podcast with Trey Lewellen! Where we teach you how to build a sustainable online business. No hype! Just real people with real stories! If you are ready for consistent, long-term cash flow then this is the Podcast for you!
…
continue reading
Moonbase Theta, Out – a queer emotional sci-fi audio drama by D.J. Sylvis. It is 2098. The Moonbase program has been determined unprofitable. The last base, Theta, is twenty weeks from being decommissioned. Most of the crew is in stasis awaiting retrieval. Five remain – Roger Bragado-Fischer, Nessa Cheong, Ashwini Ray, Michell L’Anglois, and Wilder. Join the crew of Moonbase Theta as they reach out to share the beauty, the isolation and frustration, the love and enmity, the humour, and the t ...
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
Tech Entrepreneur & Investor -- @signiavc. Host of Meet The Operators -- a series of interviews with entrepreneurs and operators from a variety of industries, sharing their knowledge on creating and on scaling organizations.
…
continue reading
Safari with us to Kenya’s incredible wildlife parks. We’ll discover the best spots to see lions, leopards, elephants, and much more!
…
continue reading

1
Maelfu wavuka mto Rusizi kwa mtumbwi kutoka DRC na kuingia Burundi ili kuokoa maisha yao
5:03
5:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
5:03Maelfu ya watu wanawasili nchini Burundi, wakikimbia mapigano yanayozidi kushamiri huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hususan katika majimbo ya Kivu Kusini na Kivu Kaskazini. Waasi wa M23 wanaendelea kupanua wigo wa maeneo wanayomiliki, hali inayotumbukiza raia kwenye changamoto za usalama, na kulazimu wale wanaoweza kukimbia…
…
continue reading
MTO Phases - Story 2: Cas and Pol We find out what our two good girls have been up to since arriving on the Moon. Thank you for listening to Phases: a Moonbase Theta, Out short story anthology. Written by D.J. Sylvis. Read, produced, and edited by Cass McPhee. Our theme music is Star, by Ramp - check them out at ramp-music.net. Our cover art is by …
…
continue reading

1
Hofu ya raia zaidi kukimbia DRC kuelekea Burundi, UNHCR yasaka dola milioni 40.4 za kuwasaidia
2:08
2:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:08Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ombi la dola milioni 40.4 ili kujiandaa na kutoa huduma za kuokoa maisha na usaidizi kwa wakimbizi wa ndani na waliokimbilia nchi jirani baada ya wakati huu ambapo mashambulizi ya waasi wa M23 yanazidi kufurusha raia kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraia ya Congo, DRC. Anold Ka…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia mahitaji ya wakimbizi wanaokimbia machafuko DRC wakielekea nchini Burundi, na hali ya wakimbizi wa ndani Gaza wakati huu wa msimu wa baridi. Makala tunakurejesha nchini DRC na mashinani tunakwenda nchini Tanzania.Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ombi la dola milioni 40.4 ili kujiandaa na…
…
continue reading

1
Watoto watota kwa mvua katika ukanda Gaza, huku baridi kali ikitishia afya zao
2:18
2:18
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:18Huko Gaza Kaskazini, kwenye eneo la wapalestina linalokaliwa na Israeli, wanafamilia zilizofurushwa makwao kutokana na vita kati ya Israeli na wanamgambo wa Hamas wanavumilia msimu wa baridi kali katika makazi ya muda ya mahema yanayopigwa na upepo na mvua usiku na mchana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF. Nyumba zao …
…
continue reading
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili Mlumbi wa Lugha Joramu Nkumbi kutoka Tanzania anafafanua upatanisho wa kisarufi wa baadhi ya maneno kama vile "Ng'ombe kumi na minane ", vikombe viwili na mengineyo ambayo watu hutamka vibaya katika sentensi, mfano "Ng'ombe kumi na nane"By Joramu Nkumbi
…
continue reading
Hii leo jaridani mada kwa kina ikimulika harakati za uhamasishaji kabla na baada ya maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani iliyoadhimishwa hivi karibuni na mchango wa redio katika juhudi za uhifadhi wa mazingira na kuchagiza maendeleo ya jamii huko Ramogi nchini DRC. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchambuzi wa maneno.Idadi ya wakimbizi kutoka…
…
continue reading

1
Tanzania yataja mambo ya kuzingatiwa ili ulinzi wa amani uwe na tija
3:51
3:51
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:51Historia ya ulinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa ulianza miaka mitatu tu baada ya kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa wenyewe. Na kutokana na umuhimu wa ulinzi wa amani kote duniani, shughuli hiyo imedumu kwa miaka yote hiyo 77 hadi sasa na bado ni muhimu lakini inaendelea kukumbwa na changamoto kama anavyofafanua Brigedia George Mwita Itang’are wa Tanz…
…
continue reading

1
OCHA yasihi kufunguliwa kwa viwanja vya ndege Goma na Kavumu - DRC
1:55
1:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:55Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likifanya kikao cha dharura jijini New York, Marekani kujadili hali ya usalama inayozidi kuzorota kila uchao huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya kibinadamu nchini humo, Bruno Lermaquis amesema kupanuka kwa mzozo huo kumezidi kugharimu maisha na mus…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia msaada wa kibinadamu nchini DRC, na simulizi y amkimbizi wa DRC aliyekimbilia nchini Uganda. Makala inatupeleka nchini Tanzania, namashinani nchini Kenya, kulikoni?Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likifanya kikao cha dharura jijini New York, Marekani kujadili hali ya usalama inayozidi kuzorota kila uchao huko Masha…
…
continue reading

1
Mkimbizi kutoka DRC aliyekimbilia Uganda akumbuka ukatili uliofanywa na waasi
2:08
2:08
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:08Sina mpango tena wa kurejea nyumbani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ni kauli yake Twagirayesu Gato, mwanafunzi huyu raia wa DRC aliyekimbia nchini mwake mwaka jana na kuingia Uganda ambako sasa anapata hifadhi. Amesema hayo kwenye video ya shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR iliyochapishwa katika ukurasa wa YouTube wa …
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina leo inayotupeleka DRC katika mji wa Goma uliokuwa mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini ambao sasa uko mikoni mwa waasi wa kundi la M23. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ujumbe kutoka mashinani.Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, OHCHR imesema hali huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia …
…
continue reading

1
Mradi wa ufugaji bora wa mbuzi umenikwamua – Mfugaji Kigoma
4:06
4:06
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
4:06Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO nchini Tanzania linaendelea kutekeleza Programu ya pamoja kwa mkoa wa Kigoma KJP iliyoanza kutekelezwa nchini humo mwaka 2017 na mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa lengo la kusaidia kutatua changamoto za kipekee za mkoa huo ikiwemo zitokanazo na kuhifadhi wakimbizi kutoka nchi jirani.Miongoni mwa…
…
continue reading

1
Dola bilioni 6 zahitajika kusaidia kukabiliana na janga la kibinadamu nchini Sudan
1:56
1:56
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:56Kutokana na hali tete ya kibinadamu nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na wadau wake leo Februari 17 jijini Genea, Uswisi, wamezindua mipango ya misaada ya kibinadamu na wakimbizi kwa mwaka huu 2025 kwa Sudan, wakihitaji jumla ya dola bilioni 6 kusaidia karibu watu milioni 26 ndani ya Sudan na kanda nzima. Selina Jerobon na maelezo zaidi.…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu kwa wakimbizi na raia wa Sudan, na maradi wa lishe bora kwa watotot nchini Kenya. Makala inatupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Zambia, kulikoni?Kutokana na hali tete ya kibinadamu nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na wadau wake leo Februari 17 jijini Genea, Uswisi, wamezindua mipango ya misaada…
…
continue reading

1
Mradi wa NICHE umekuwa mkombozi wangu, asante UNICEF: Leah Akiru
2:20
2:20
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:20Mradi unaoendeshwa na serikali ya kenya na kupigwa jeki na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambao ni wa kuboresha lishe kwa watoto kwa kugawa fedha taslim na elimu ya afya au NICHE (NISHI) umeleta nuru kwa wakazi wa Lokichar katika kaunti ya Turkana Kaskazini Mashariki mwa Kenya na miongoni mwa wanufaika ni Leah Akiru. Ungana …
…
continue reading

1
What Does the Future Hold for Green Trucking Technologies
26:01
26:01
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
26:01Send us a text Exploring the Future of Green Technology in Trucking with Mike Kucharski In this episode of the Trucking Risk and Insurance Podcast, host Chris is joined by Mike Kucharski, VP of JKC Trucking, to discuss the advancements, challenges, and potential alternatives in green technology for the long-haul trucking industry. They delve into t…
…
continue reading

1
Kenya tumepiga hatua kuhakikisha maendeleo ya ustawi wa jamii: Mary Wambui Munene
4:58
4:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
4:58Kikao cha 63 cha Baraza la Kiuchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC kuhusu maendeleo ya ujamii kinakunja jamvi hii leo jijini New York Marekani baada ya majadiliano ya juma zima kuhusu maendeleo ya ustawi wa jamii, hatua zinazochukuliwa nan chi katika kufanikisha hilo na kuchagiza mshikamano wa kimataifa kutimiza lengo. Nchi mbalimbali zimetu…
…
continue reading

1
Mashambulizi yakishamiri DRC, sinfohamu yakumba wakimbizi
2:37
2:37
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, lina wasiwasi mkubwa kuhusu janga la kibinadamu linalozidi kuwa baya tena kwa kasi kubwa huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kwani kushindwa kufikia wahitaji kumekwamisha ufikishaji misaada ya harakati inahoyitajika. Anold Kayanda na ripoti kamili.…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko na hali ya wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Makala inaturejesha hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na mashinani inatupeleka nchini Jamhuri ya Africa ya Kati (CAR), kulikoni?Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, lina wasiwasi mkubwa kuhusu janga la kibinada…
…
continue reading

1
Doria za pamoja za MONUSCO na FARDC huko Ituri DRC zaimarisha usalama
1:58
1:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:58Katika kitongoji cha Komanda jimboni Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, doria za pamoja zinazoendeshwa na walinda amani wanaohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO na jeshi la serikali FARDC zimeimarisha usalama kwenye maeneo ya raia. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.…
…
continue reading
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana za neno “MSUMBI”By Onni Sigalla
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Tanzania kumulika siku ya redio duniani, maudhui yakiwa Radio na Tabianchi, na ni kwa vipi chombo kinachodaiwa kutwamishwa na maendeleo ya teknolojia kinaendelea kusaidia kuelimisha umma kuhusu madhara ya mabadiliko ya tabianchi, Teonas Aswile wa TBC Taifa nchini Tanzania anaeleza.Jamh…
…
continue reading

1
Akibomoa kibanda chake Goma DRC, mkimbizi asema ana hofu kurejea Saké
1:45
1:45
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:45Baada ya waasi wa M23 jimboni Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kupatia wakimbizi waliokuwa wamesaka hifadhi kambini mjini Goma, wawe wamerejea makwao ndani ya saa 72 kuanzia juzi jumatatu, mamia wameanza kutii amri hiyo.Miongoni mwao ni Kibira Bakulu, baba wa watoto 5, aliyekimbia mapigano eneo la Saké, mwezi Febr…
…
continue reading

1
Redio imetusaidia kufikisha elimu kwa umma kuhusu hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
3:12
3:12
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:12Ikiwa kesho Februari 13 ni Siku ya Kimataifa ya Redio, makala inatupeleka jijini Nairobi, Kenya ambako ambako Kevin Keitany wa redio washirika wetu Domus FM kwa kuzingatia kuwa kesho Februari 13 ni Siku ya Kimataifa ya Redio, ametutumia maoni ya vijana wawili wanaozungumzia namna redio imewasaidia kusambaza ujumbe wao kuhusu hatua dhidi ya mabadili…
…
continue reading

1
Wakimbizi Goma waanza kufungasha virago huku wakiwa na hofu
1:45
1:45
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:45Baada ya waasi wa M23 jimboni Kivu Kaskazini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kupatia wakimbizi waliokuwa wamesaka hifadhi kambini mjini Goma, wawe wamerejea makwao ndani ya saa 72 kuanzia juzi jumatatu, mamia wameanza kutii amri hiyo licha ya hofu inayowakabili ya kule wanakotakiwa kurejea. Miongoni mwao ni Kibira Bakulu, baba …
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia matokeo ya maandamani nchini Bangladesh, na machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Makala inatupeleka nchini Kenya na mashinani nchini Tanzania, kulikoni?Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo mjini Geneva Uswisi na ofisi ya haki za binadamu (OHCHR) imefichua kuwa viongozi wa juu wa serikali ya Bang…
…
continue reading

1
Ripoti yabainisha ushiriki wa viongozi wa juu katika ukandamizaji Bangladesh
1:58
1:58
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:58Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo mjini Geneva Uswisi na ofisi ya haki za binadamu (OHCHR) imefichua kuwa viongozi wa juu wa serikali ya Bangladesh walihusika moja kwa moja katika ukandamizaji wa maandamano makubwa yaliyoitikisa nchi hiyo mwaka 2024 na kusababisha vifo vingi. Flora Nducha na taarifa zaidi…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Uganda kumulika ni kwa nini Uganda imekivalia njuga Kiswahili akieleza mwandishi wetu wa Uganda John Kibego ambaye amezungumza na mwandaaji mwenza wa kongamano hilo Dkt. Kisembo Ronex Tendo, Mkurugenzi wa shirika la Afrika Mashariki Fest.Umoja wa Mataifa na wadau wanasalia na wasiwasi …
…
continue reading

1
Is Your Transportation Business Safe from Identity Theft_.mp4
29:43
29:43
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
29:43Send us a text Combatting Fraud in the Transportation Industry: Insights and Solutions In this episode of the Trucking Risk and Insurance Podcast, hosts Chris and Johnny dive into the issues of factoring and the alarming rise of fraud in the transportation industry. They speak with Jennifer Lockett, an experienced operations manager from Altline by…
…
continue reading

1
Wapalestina wahitaji ufadhili na mshikamano wa kimataifa - Tom Fletcher
3:40
3:40
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:40Huko Mashariki ya Kati Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Dharura, OCHA Tom Fletcher alifanya ziara ya siku tatu huko Ukingo wa Magharibi na Gaza ili kujionea hali halisi ya raia. Katika Sharon Jebichii amefuatilia ziara yake na kutuandalia makala hii..By Sharon Jebichii
…
continue reading

1
Kakuma - Je, unafahamu kwamba nyenje ni chanzo cha protini?
1:32
1:32
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:32Katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, kutokana na ufadhili wa shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), kundi la vijana wanajishughulisha na ufugaji wa wadudu nyenje (Crickets) ili kukabiliana na changamoto ya utapiamlo miongoni mwa watoto wachanga. Anold Kayanda na maelezo zaidi.…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya wahamiaji na wakimbizi nchini Libya, na wakimbizi wajasiriamali katika makazi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya. Makala inatupeleka Jerusalemu Mashariki, na mashinani nchini Chad, kulikoni?Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM, limeeleza mshtuko mkubwa na wasiwasi wake kufuatia kugunduliwa kwa makaburi …
…
continue reading

1
IOM: Miili ya wahamiaji 39 yakutwa kwenye makaburi mawili Libya
2:11
2:11
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:11Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji, IOM, limeeleza mshtuko mkubwa na wasiwasi wake kufuatia kugunduliwa kwa makaburi mawili nchini Libya walimozikwa wahamiaji kadhaa, baadhi yao wakiwa na majeraha ya risasi. Flora Nducha na taarifa zaidiBy Flora Nducha
…
continue reading

1
Mabaya zaidi nchini DRC yanakuja iwapo hatutauchukua hatua, aonya Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN
2:18
2:18
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:18Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza la Haki za Binadamu kinachofanyika jijini Geneva, Uswisi, ameonya kuwa ghasia zinazoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaweza kuwa mbaya zaidi ikiwa hazitashughulikiwa. Flora Nducha na taarifa zaidi.…
…
continue reading

1
Juhudi za mahakama Tanzania kutekeleza Lengo namba 16 ya SDG
3:57
3:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:57Leo katika makala Hamad Rashid wa Redio washirika KidsTime FM ya mkoani Morogoro Tanzania aanaangazia kuhusu namna Tanzania inaendelea kufanikisha Lengo Namba 16 la Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa linatilia mkazo upatikanaji wa amani, haki na taasisi imara kwa kupunguza mrundikano wa mashauri au kesi mahakamani, kuwezesha upatikanaji wa haki…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya kidemokasia ya Congo DRC, Na masuala ya afya nchini Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville. Makala inatupeleka nchini Tanzania, na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo akizungumza katika Kikao Maalum cha Baraza …
…
continue reading

1
Congo-Brazaville yaelekea kutokomeza ugonjwa wa ngozi na macho
1:50
1:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:50Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na nzi mweusi wanaozaliana kwenye mito na vijito, ugonjwa ambao uliathiri shughuli zao za kijamii na kiuchumi kutokana na muwasho wa kila mara na upofu. As…
…
continue reading

1
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “MTI WENYE MATUNDA NDIO HURUSHIWA MAWE”.
1:42
1:42
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:42Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “MTI WENYE MATUNDA NDIO HURUSHIWA MAWE”.By Dkt. Josephat Gitonga
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwakina inayotupeleka Havan Cuba ambapo mmoja wa walumbi wa lugha ya Kiswahili Jorum Nkumbi, ambaye pia ni mwandishi wa vitabu anayetumia sanaa ya uandishi wa vitabu kuitangaza lugha mama yake ya Kiswahili amezindua kitabu kipya hivi karibuni wakati wa kongamano la kimataifa la Kiswahili. Mengine tuliyokuandalia ni…
…
continue reading

1
Tumetembea wiki mbili kufika kambini Bushagara lakini bado hapa si nyumbani - Mwamini
3:33
3:33
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:33Kutana na Mwamini Sebororo mmoja wa mamilioni ya raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC waliopoteza makazi yao na kila kitu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki ya taifa hilo huku mgogoro ukiendelea kufurusha watu zaidi. Kuendelea kuzorota kwa hali ya kibinadamu imekuwa mtihani mkubwa kwa wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi. Kupiti…
…
continue reading

1
Uhamishaji watu kwa lazima kutoka kutoka ardhi inayokaliwa sio sahihi - OHCHR
1:23
1:23
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:23Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa,(OHCHR) imesisitiza haja ya kusonga mbele kuelekea awamu inayofuata ya usitishaji mapigano huko Gaza, kuachiliwa kwa mateka na wafungwa wote waliokamatwa kiholela, kukomesha vita na kujenga upya Gaza, kwa kuheshimu kikamilifu sheria ya kimataifa ya kibinadamu na sheria za kimataifa za haki za binadamu.…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya usalama Goma DRC, na masuala ya haki za binadamu. Makala na mashinani inaturejesha nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kufuatilia simulizi za wakimbizi wa ndani.Maisha yanarejea katika hali ya kawaida huko Goma baada ya siku kadhaa za mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (FARDC) na…
…
continue reading
Maisha yanarejea katika hali ya kawaida huko Goma baada ya siku kadhaa za mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (FARDC) na waasi wa M23 mashariki mwa. Mwandishi wetu wa habari jimboni Kivu Kaskazini amesema kwamba shughuli zinaanza tena katika mji wa ziwa la Kivu, Goma, wakati M23 imechukua wilaya nyingi za mji mkuu wa Jimbo h…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kushuhudia sintofahamu na maombi ya wakazi wa Goma baada ya waasi wa M23 kutwaa mji huo. Mashinani tunakwenda Somalia na pia tunakuletea muhutasari wa habari.Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Co…
…
continue reading
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo linasema takriban wakimbizi 18,000 waliokimbia vita Sudan hivi sasa wanaishi katika kambi ya wakimbizi ya Korsi katika eneo la Birao, jimbo la Vakaga Kat…
…
continue reading

1
Maandamano huko Goma DRC, wakimbizi waomba UN iwafikishie misaada
3:44
3:44
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:44Ikiwa ni wiki moja sasa tangu waasi wa M23 watangaze kutwaa Goma, jimboni Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, na kisha serikali kutangaza Beni kuwa mji mkuu wa sasa wa jimbo hilo, hii leo Jumatatu Februari 3, maandamano makubwa ya amani yamefanyika mjini Beni, yakiongozwa na mashirika ya kiraia na wananchi. Taarifa …
…
continue reading

1
Tutafute majadiliano badala ya kugawanyika - Guterres
1:50
1:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:50Ikiwa kesho Februari 4 ni Siku ya Kimataifa ya Udugu wa Kibinadamu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres,kupitia ujumbe mahususi kwa ajili ya siku hii ametoa wito wa kuimarisha umoja, usawa, na kuheshimiana katika kipindi hiki cha ongezeko la ubaguzi na kutovumiliana duniani. Anold Kayanda na maelezo zaidi.…
…
continue reading